Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home/tenmet/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/operations.class.php on line 2758
Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home/tenmet/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/operations.class.php on line 2762
Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home/tenmet/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/output.class.php on line 3706 TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA KULAANI KITENDO CHA KUHADAA UBORA WA ELIMU KILICHOFANYWA NA BAADHI YA SHULE ZA MSINGI HAPA NCHINI – TEN/MET
HomeBlogUncategorizedTAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA KULAANI KITENDO CHA KUHADAA UBORA WA ELIMU KILICHOFANYWA NA BAADHI YA SHULE ZA MSINGI HAPA NCHINI
TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA KULAANI KITENDO CHA KUHADAA UBORA WA ELIMU KILICHOFANYWA NA BAADHI YA SHULE ZA MSINGI HAPA NCHINI
Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma linaungana na wadau wote wa Elimu nchini katika kulaani kitendo cha hujuma katika Elimu kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa Sekta ya Elimu na wamiliki wa shule nchini.
MED katika tukio hili imejiandaa pia kuwasilisha barua yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuunga mkono dhamira njema ya Serikali ya kuwapa nafasi watoto kurudia Mitihani lakino pia kwa jinsi ilivyochukua hatua za haraka kwa waliohusika na tukio hili.
Ni mawazo yetu kuwa ifike wakati suala la HUJUMA katika mitihani lichukuliwe kama zilivyo hujuma nyingine za kiuchumi hivyo wahusika licha ya kuchukuliwa hatua za kisheria kama kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani; kutumikia kifungo nk. Sheria iende mbele zaidi hata kufikia kutaifisha mali (Shule) kama ilivyo kwa wahujumu uchumi, rasilimali za nchi nk.
MED tunaipongeza TENMET kwa kuchukua hatua na kutoa tamko hili kwa wakati.
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)