Job Opportunity (Advocacy Officer, MEL Officer, Human Resources Officer, Resource Mobilization Officer)

Tanzania Education Network /Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) is a...

1 reply added

  1. Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma linaungana na wadau wote wa Elimu nchini katika kulaani kitendo cha hujuma katika Elimu kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa Sekta ya Elimu na wamiliki wa shule nchini.
    MED katika tukio hili imejiandaa pia kuwasilisha barua yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuunga mkono dhamira njema ya Serikali ya kuwapa nafasi watoto kurudia Mitihani lakino pia kwa jinsi ilivyochukua hatua za haraka kwa waliohusika na tukio hili.
    Ni mawazo yetu kuwa ifike wakati suala la HUJUMA katika mitihani lichukuliwe kama zilivyo hujuma nyingine za kiuchumi hivyo wahusika licha ya kuchukuliwa hatua za kisheria kama kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani; kutumikia kifungo nk. Sheria iende mbele zaidi hata kufikia kutaifisha mali (Shule) kama ilivyo kwa wahujumu uchumi, rasilimali za nchi nk.
    MED tunaipongeza TENMET kwa kuchukua hatua na kutoa tamko hili kwa wakati.

Comments are closed.